iqna

IQNA

sheikh issa qassim
Mapambano ya watu wa Bahrain
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini wa Bahrain, Sheikh Isa Qassim amesisitiza kuendelea kwa njia ya Jihad na mageuzi katika nchi hiyo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3476266    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/18

TEHRAN (IQNA)-Mamia ya wananchi wa Bahrain wameshiriki katika maandamano nchini humo wakitaka wafungwa wote wa kisiasa waachiliwe huru.
Habari ID: 3471156    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03

TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain umemuhukumu mwanazuoni wa Kiisalmu Sheikh Issa Qasim kifungo cha mwaka mmoja na kuibuaasira za wananchi ambao wameandamana wakiwa wamevaa sanda, kupinga hukumu hiyo ya kidhulma.
Habari ID: 3470987    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/21

TEHRAN (IQNA) Utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, umeahirisha tena kesi ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim.
Habari ID: 3470971    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/07

IQNA-Utawala dhalimu wa Bahrain umeakhirisha tena hukumu dhidi ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3470895    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/14

IQNA-Wabahrain wanaendelea kuandamana mbele ya nyumba ya mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim kwa lengo la kumuunga mkono mwanazuoni huyo anayedhulumiwa.
Habari ID: 3470654    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05

Shirika moja la kutetea haki za binadamu limelaani vikali hatua ya mahakama ya Bahrain kudhinisha marufuku ya chama kikuu cha upinzani nchini humo, al-Wefaq.
Habari ID: 3470576    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/23

Mahakama ya utawala wa kiimla Bahrain meakhirisha tena kutolewa hukumu dhidi ya Sheikh Isa Qassim.
Habari ID: 3470565    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/16